1 Samueli 3:17 - Swahili Revised Union Version17 Akamwuliza, Ni neno gani alilosema nawe? Nakusihi, usinifiche; Mungu akufanyie vivyo hivyo, na kuzidi, ukinificha lolote katika hayo yote BWANA aliyosema nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Eli akamwuliza, “Je, Mwenyezi-Mungu alikuambia nini? Usinifiche alichokuambia. Ikiwa utanificha alichokuambia, Mungu atakuadhibu vikali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Eli akamwuliza, “Je, Mwenyezi-Mungu alikuambia nini? Usinifiche alichokuambia. Ikiwa utanificha alichokuambia, Mungu atakuadhibu vikali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Eli akamwuliza, “Je, Mwenyezi-Mungu alikuambia nini? Usinifiche alichokuambia. Ikiwa utanificha alichokuambia, Mungu atakuadhibu vikali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Eli akamuuliza, “Ni nini alichokuambia? Usinifiche. Mwenyezi Mungu na akuadhibu vikali zaidi kama utanificha chochote alichokuambia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Eli akamuuliza, “Ni nini alichokuambia? Usinifiche. bwana na ashughulike nawe, tena kwa ukali, kama utanificha chochote alichokuambia.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Akamwuliza, Ni neno gani alilosema nawe? Nakusihi, usinifiche; Mungu akufanyie vivyo hivyo, na kuzidi, ukinificha lolote katika hayo yote BWANA aliyosema nawe. Tazama sura |