Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 3:15 - Swahili Revised Union Version

15 Naye Samweli akalala hadi asubuhi, akaifungua milango ya nyumba ya BWANA. Samweli akaogopa kumjulisha Eli maono hayo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Samueli akalala pale hadi asubuhi, kisha akaamka na kufungua milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Lakini Samueli aliogopa kumwambia Eli maono hayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Samweli akalala hadi asubuhi, kisha akafungua milango ya nyumba ya Mwenyezi Mungu. Aliogopa kumwambia Eli yale maono,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Samweli akalala mpaka asubuhi, kisha akafungua milango ya nyumba ya bwana. Aliogopa kumwambia Eli yale maono,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Naye Samweli akalala hadi asubuhi, akaifungua milango ya nyumba ya BWANA. Samweli akaogopa kumjulisha Eli maono hayo.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 3:15
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na Berekia na Elkana walikuwa mabawabu kwa ajili ya sanduku.

Laiti angekuwapo kwenu mtu mmoja wa kuifunga milango; msije mkawasha moto bure madhabahuni pangu! Sina furaha kwenu, asema BWANA wa majeshi, wala sitakubali dhabihu yoyote mikononi mwenu.

Kisha akawaambia, Sikilizeni basi maneno yangu; Akiwapo nabii kati yenu, Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono, Nitasema naye katika ndoto.

Ndipo Hana akainuka, walipokula na kunywa huko Shilo. Naye Eli, kuhani, alikuwa akiketi kitini pake penye mwimo wa hekalu la BWANA.

BWANA akaja, akasimama, akaita vile vile kama kwanza, Samweli! Samweli! Ndipo Samweli akasema, Nena, BWANA; kwa kuwa mtumishi wako anasikia.

Basi Eli akamwita Samweli, akasema, Samweli, mwanangu. Naye akajibu, Mimi hapa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo