Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 29:7 - Swahili Revised Union Version

7 Basi sasa rudi, uende zako kwa amani, ili usiwachukize hao wakuu wa Wafilisti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Hivyo sasa, rudi nyumbani. Nenda kwa amani ili usiwachukize wakuu wa Wafilisti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Hivyo sasa, rudi nyumbani. Nenda kwa amani ili usiwachukize wakuu wa Wafilisti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Hivyo sasa, rudi nyumbani. Nenda kwa amani ili usiwachukize wakuu wa Wafilisti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Rudi na uende kwa amani; usifanye chochote cha kuwakasirisha watawala wa Wafilisti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Rudi na uende kwa amani; usifanye chochote cha kuwakasirisha watawala wa Kifilisti.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Basi sasa rudi, uende zako kwa amani, ili usiwachukize hao wakuu wa Wafilisti.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 29:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

Balaamu akamwambia malaika wa BWANA, Nimefanya dhambi; maana sikujua ya kuwa wewe umesimama njiani ili kunipinga; basi sasa, ikiwa umechukizwa, nitarudi tena.


Ndipo Eli akajibu, akasema, Nenda kwa amani; na Mungu wa Israeli akujalie haja yako uliyomwomba.


Ndipo Akishi akamwita Daudi, akamwambia, Aishivyo BWANA, wewe umekuwa mwenye adili, tena kutoka kwako na kuingia kwako pamoja nami katika jeshi ni kwema machoni pangu; kwa sababu mimi sikuona uovu ndani yako tangu siku ile uliponijia hata leo; walakini hao wakuu hawakuridhii.


Naye Daudi akamwambia Akishi, Lakini mimi nimefanyaje? Nawe umeona nini kwangu mimi mtumishi wako, muda wote niliokaa mbele yako hata leo, nisipate ruhusa niende na kupigana na adui za bwana wangu mfalme?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo