1 Samueli 27:7 - Swahili Revised Union Version7 Na hesabu ya siku alizokaa Daudi katika nchi ya Wafilisti ilikuwa mwaka mzima na miezi minne. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Daudi aliishi katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Daudi aliishi katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Daudi aliishi katika nchi ya Wafilisti kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Daudi akaishi katika nchi ya Wafilisti muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Daudi akaishi katika nchi ya Wafilisti muda wa mwaka mmoja na miezi minne. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Na hesabu ya siku alizokaa Daudi katika nchi ya Wafilisti ilikuwa mwaka mzima na miezi minne. Tazama sura |
Ndipo wakuu wa Wafilisti wakasema, Waebrania hawa wanafanya nini hapa? Naye Akishi akawaambia wakuu wa Wafilisti, Je! Siye huyu Daudi, yule mtumishi wa Sauli, mfalme wa Israeli, ambaye amefuatana na mimi siku hizi, naam, miaka hii, wala mimi nisione hatia kwake, tangu hapo aliponiangukia mimi hata leo?