1 Samueli 27:4 - Swahili Revised Union Version4 Naye Sauli akaambiwa ya kwamba Daudi amekimbia mpaka Gathi; wala hakumtafuta tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Shauli aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gathi, hakumfuata tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Shauli aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gathi, hakumfuata tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Shauli aliposikia kwamba Daudi amekimbilia Gathi, hakumfuata tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Sauli alipokuwa ameambiwa kwamba Daudi alikuwa amekimbilia Gathi, hakuendelea kumsaka tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Sauli alipokuwa ameambiwa kwamba Daudi alikuwa amekimbilia Gathi, hakuendelea kumsaka tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Naye Sauli akaambiwa ya kwamba Daudi amekimbia mpaka Gathi; wala hakumtafuta tena. Tazama sura |