1 Samueli 26:4 - Swahili Revised Union Version4 Basi Daudi akatuma wapelelezi, akapata habari ya hakika ya kwamba Sauli amefika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 alituma wapelelezi, akafahamishwa kwamba ni kweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Daudi akatuma wapelelezi na akapata habari kwa hakika kwamba Sauli alikuwa amewasili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Daudi akatuma wapelelezi na akapata habari kwa hakika kwamba Sauli alikuwa amewasili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Basi Daudi akatuma wapelelezi, akapata habari ya hakika ya kwamba Sauli amefika. Tazama sura |