1 Samueli 26:22 - Swahili Revised Union Version22 Daudi akajibu, akasema, Litazame fumo hili, Ee mfalme! Kijana mmoja na avukie huku, alitwae. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Daudi akajibu, “Ee mfalme, mkuki wako uko hapa, mtume kijana wako mmoja aje auchukue. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Daudi akajibu, “Ee mfalme, mkuki wako uko hapa, mtume kijana wako mmoja aje auchukue. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Daudi akajibu, “Ee mfalme, mkuki wako uko hapa, mtume kijana wako mmoja aje auchukue. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Daudi akajibu, “Mkuki wa mfalme uko hapa. Mmoja wa vijana wako na avuke kuuchukua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Daudi akajibu, “Mkuki wa mfalme uko hapa. Mmoja wa vijana wako na avuke kuuchukua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Daudi akajibu, akasema, Litazame fumo hili, Ee mfalme! Kijana mmoja na avukie huku, alitwae. Tazama sura |