1 Samueli 25:38 - Swahili Revised Union Version38 Tena ikawa, yapata siku kumi baadaye, BWANA alimpiga huyo Nabali, hadi akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Siku kumi baadaye, Mwenyezi-Mungu alimpiga Nabali akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Siku kumi baadaye, Mwenyezi-Mungu alimpiga Nabali akafa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Siku kumi baadaye, Mwenyezi-Mungu alimpiga Nabali akafa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Baada ya siku kumi, Mwenyezi Mungu akampiga Nabali, naye akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Baada ya siku kumi, bwana akampiga Nabali, naye akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 Tena ikawa, yapata siku kumi baadaye, BWANA alimpiga huyo Nabali, hadi akafa. Tazama sura |