1 Samueli 24:12 - Swahili Revised Union Version12 BWANA atuamue, mimi na wewe, na BWANA anilipizie kisasi changu kwako; lakini mkono wangu hautakuwa juu yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mwenyezi-Mungu na aamue kati yangu, na wewe. Yeye akulipize kisasi lakini mimi kamwe sitanyosha mkono wangu dhidi yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mwenyezi-Mungu na aamue kati yangu, na wewe. Yeye akulipize kisasi lakini mimi kamwe sitanyosha mkono wangu dhidi yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mwenyezi-Mungu na aamue kati yangu, na wewe. Yeye akulipize kisasi lakini mimi kamwe sitanyosha mkono wangu dhidi yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu na ahukumu kati yangu na wewe. Naye Mwenyezi Mungu alipize mabaya unayonitendea, lakini mkono wangu hautakugusa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana na ahukumu kati yangu na wewe. Naye bwana alipize mabaya unayonitendea, lakini mkono wangu hautakugusa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 BWANA atuamue, mimi na wewe, na BWANA anilipizie kisasi changu kwako; lakini mkono wangu hautakuwa juu yako. Tazama sura |