1 Samueli 23:8 - Swahili Revised Union Version8 Basi Sauli akawaita watu wote waende vitani, ili waishukie Keila, na kumzingira Daudi na watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hivyo, Shauli aliyaita majeshi yaende Keila na kufanya mashambulizi, ili kumzingira Daudi pamoja na watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hivyo, Shauli aliyaita majeshi yaende Keila na kufanya mashambulizi, ili kumzingira Daudi pamoja na watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hivyo, Shauli aliyaita majeshi yaende Keila na kufanya mashambulizi, ili kumzingira Daudi pamoja na watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Naye Sauli akayaita majeshi yake yote yaende vitani, kuishukia Keila ili kumzingira Daudi na watu wake kwa jeshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Naye Sauli akayaita majeshi yake yote yaende vitani, kuishukia Keila ili kumzingira Daudi na watu wake kwa jeshi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Basi Sauli akawaita watu wote waende vitani, ili waishukie Keila, na kumzingira Daudi na watu wake. Tazama sura |