1 Samueli 23:6 - Swahili Revised Union Version6 Ikawa Abiathari, mwana wa Ahimeleki, alipomkimbilia Daudi huko Keila, alishuka na naivera mkononi mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Abiathari, mwana wa Ahimeleki, alipokimbilia kwa Daudi huko Keila, alikwenda na kizibao cha kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Abiathari, mwana wa Ahimeleki, alipokimbilia kwa Daudi huko Keila, alikwenda na kizibao cha kuhani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Abiathari, mwana wa Ahimeleki, alipokimbilia kwa Daudi huko Keila, alikwenda na kizibao cha kuhani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Basi Abiathari mwana wa Ahimeleki alikuwa ameleta kizibau alipokimbilia kwa Daudi huko Keila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 (Basi Abiathari mwana wa Ahimeleki alikuwa ameleta kisibau alipokimbilia kwa Daudi huko Keila.) Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Ikawa Abiathari, mwana wa Ahimeleki, alipomkimbilia Daudi huko Keila, alishuka na naivera mkononi mwake. Tazama sura |