Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 23:11 - Swahili Revised Union Version

11 Je! Watu wa Keila watanitoa, nitiwe mkononi mwake? Je! Sauli atashuka, kama mtumishi wako alivyosikia? Ee Bwana, Mungu wa Israeli, nakusihi, umwambie mtumishi wako. Naye BWANA akamjibu, Atashuka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Je, wakazi wa Keila watanitia mikononi mwa Shauli? Je, Shauli atakuja kweli kama nilivyosikia mimi mtumishi wako? Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nakuomba unijibu mimi mtumishi wako.” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Shauli atakuja.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Je, wakazi wa Keila watanitia mikononi mwa Shauli? Je, Shauli atakuja kweli kama nilivyosikia mimi mtumishi wako? Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nakuomba unijibu mimi mtumishi wako.” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Shauli atakuja.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Je, wakazi wa Keila watanitia mikononi mwa Shauli? Je, Shauli atakuja kweli kama nilivyosikia mimi mtumishi wako? Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nakuomba unijibu mimi mtumishi wako.” Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Shauli atakuja.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Je, watu wa Keila watanisalimisha kwake? Je, Sauli atateremka, kama mtumishi wako alivyosikia? Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, mwambie mtumishi wako.” Naye Mwenyezi Mungu akasema, “Ndiyo, atashuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Je, watu wa Keila watanisalimisha kwake? Je, Sauli atateremka, kama mtumishi wako alivyosikia? Ee bwana, Mungu wa Israeli, mwambie mtumishi wako.” Naye bwana akasema, “Ndiyo, atashuka.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

11 Je! Watu wa Keila watanitoa, nitiwe mkononi mwake? Je! Sauli atashuka, kama mtumishi wako alivyosikia? Ee Bwana, Mungu wa Israeli, nakusihi, umwambie mtumishi wako. Naye BWANA akamjibu, Atashuka.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 23:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Uniite siku ya mateso; Nitakuokoa, nawe utanitukuza.

Tena BWANA akanijulisha haya, nami nikayajua; ndipo uliponionesha matendo yao.

Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.

Ndipo Daudi akasema, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, mimi mtumishi wako nimesikia hakika ya kuwa Sauli anataka kuja huku Keila, ili kuuharibu mji kwa ajili yangu.

Ndipo Daudi akasema, Je! Watu wa Keila watanitia mimi na watu wangu mkononi mwake Sauli? BWANA akasema, Watakutia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo