1 Samueli 22:21 - Swahili Revised Union Version21 Naye Abiathari akamweleza Daudi ya kwamba Sauli amewaua makuhani wa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Abiathari alimweleza Daudi kuwa Shauli amewaua makuhani wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Abiathari alimweleza Daudi kuwa Shauli amewaua makuhani wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Abiathari alimweleza Daudi kuwa Shauli amewaua makuhani wa Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Abiathari akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Naye Abiathari akamweleza Daudi ya kwamba Sauli amewaua makuhani wa BWANA. Tazama sura |