1 Samueli 22:12 - Swahili Revised Union Version12 Sauli akasema, Sikia sasa, Ewe mwana wa Ahitubu. Naye akaitika, Mimi hapa, bwana wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Shauli akasema, “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamjibu, “Naam, bwana.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Shauli akasema, “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamjibu, “Naam, bwana.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Shauli akasema, “Sasa sikiliza wewe mwana wa Ahitubu.” Ahimeleki akamjibu, “Naam, bwana.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Sauli akasema, Sikia sasa, Ewe mwana wa Ahitubu. Naye akaitika, Mimi hapa, bwana wangu. Tazama sura |