1 Samueli 20:4 - Swahili Revised Union Version4 Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Yonathani akamwambia, “Lolote utakalosema nitakutendea.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Yonathani akamwambia Daudi, “Chochote unachotaka nifanye, nitakufanyia.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Yonathani akamwambia Daudi, “Chochote unachotaka nifanye, nitakufanyia.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ndipo Yonathani akamwambia Daudi, Kadiri roho yako itakavyo, nitakutendea. Tazama sura |