1 Samueli 20:28 - Swahili Revised Union Version28 Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Yonathani akamjibu, “Alinisihi sana nimruhusu aende Bethlehemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Yonathani akamjibu, “Daudi alinisihi sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Naye Yonathani akamjibu Sauli, Daudi alitaka sana nimpe ruhusa aende Bethlehemu; Tazama sura |