1 Samueli 20:16 - Swahili Revised Union Version16 Basi Yonathani akafanya agano na jamaa yake Daudi, akisema, BWANA na awalipize kisasi adui zake Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 naomba na jina langu lisikatiliwe mbali kutoka jamaa yako. Mwenyezi-Mungu awalipize kisasi adui zako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 naomba na jina langu lisikatiliwe mbali kutoka jamaa yako. Mwenyezi-Mungu awalipize kisasi adui zako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 naomba na jina langu lisikatiliwe mbali kutoka jamaa yako. Mwenyezi-Mungu awalipize kisasi adui zako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: “Mwenyezi Mungu na awaangamize adui za Daudi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: “bwana na awaangamize adui za Daudi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Basi Yonathani akafanya agano na jamaa yake Daudi, akisema, BWANA na awalipize kisasi adui zake Daudi. Tazama sura |