1 Samueli 20:11 - Swahili Revised Union Version11 Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Yonathani akamwambia, “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Yonathani akamwambia, “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani. Tazama sura |