1 Samueli 2:24 - Swahili Revised Union Version24 Sivyo hivyo, wanangu, kwa maana habari hii ninayoisikia si habari njema; mnawakosesha watu wa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Msifanye hivyo wanangu kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Mwenyezi-Mungu ni mabaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Msifanye hivyo wanangu kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Mwenyezi-Mungu ni mabaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Msifanye hivyo wanangu kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Mwenyezi-Mungu ni mabaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ninayosikia ikienea miongoni mwa watu wa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ambayo ninasikia ikienea miongoni mwa watu wa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Sivyo hivyo, wanangu, kwa maana habari hii ninayoisikia si habari njema; mnawakosesha watu wa BWANA. Tazama sura |