1 Samueli 19:23 - Swahili Revised Union Version23 Basi akaenda Nayothi huko Rama, na Roho ya Mungu ikamjia yeye naye, akaendelea mbele, huku anatabiri, mpaka kufika Nayothi huko Rama. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Hivyo Sauli akaenda Nayothi huko Rama. Lakini Roho wa Mungu akaja juu yake hata yeye, akawa anatembea huku anatoa unabii hadi akafika Nayothi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Hivyo Sauli akaenda Nayothi huko Rama. Lakini Roho wa Mwenyezi Mungu akaja juu yake hata yeye, akawa anatembea huku anatoa unabii hadi akafika Nayothi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Basi akaenda Nayothi huko Rama, na Roho ya Mungu ikamjia yeye naye, akaendelea mbele, huku anatabiri, mpaka kufika Nayothi huko Rama. Tazama sura |