1 Samueli 18:9 - Swahili Revised Union Version9 Sauli akamwonea Daudi wivu tangu siku ile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Tangu siku hiyo, Shauli akawa anamwonea kijicho Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Tangu siku hiyo, Shauli akawa anamwonea kijicho Daudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Tangu siku hiyo, Shauli akawa anamwonea kijicho Daudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kuanzia wakati ule na kuendelea Sauli akawa na jicho la wivu juu ya Daudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kuanzia wakati ule na kuendelea Sauli akawa na jicho la wivu juu ya Daudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Sauli akamwonea Daudi wivu tangu siku ile. Tazama sura |