1 Samueli 18:24 - Swahili Revised Union Version24 Na hao watumishi wa Sauli wakampasha habari, wakisema, Ndivyo hivyo alivyosema Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Watumishi wa Sauli walipomweleza vile Daudi alivyosema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Watumishi wa Sauli walipomweleza yale Daudi aliyoyasema, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Na hao watumishi wa Sauli wakampasha habari, wakisema, Ndivyo hivyo alivyosema Daudi. Tazama sura |