1 Samueli 17:31 - Swahili Revised Union Version31 Na maneno hayo aliyosema Daudi yaliposikiwa, watu wakamweleza Sauli; naye akatuma mtu kwenda kumwita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Watu fulani ambao walimsikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Shauli. Naye Shauli akaagiza aitwe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Watu fulani ambao walimsikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Shauli. Naye Shauli akaagiza aitwe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Watu fulani ambao walimsikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Shauli. Naye Shauli akaagiza aitwe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 Lile Daudi alilosema likasikiwa na kuelezwa kwa Sauli, naye Sauli akatuma aitwe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 Lile Daudi alilosema likasikiwa na kuelezwa kwa Sauli, naye Sauli akatuma aitwe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Na maneno hayo aliyosema Daudi yaliposikiwa, watu wakamweleza Sauli; naye akatuma mtu kwenda kumwita. Tazama sura |