Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 17:3 - Swahili Revised Union Version

3 Wafilisti wakasimama juu ya mlima upande huu, na Waisraeli wakasimama juu ya mlima upande huu, huku bonde likiwa katikati.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Wafilisti walisimama mlimani upande mmoja na Waisraeli walisimama mlimani upande mwingine, katikati yao kulikuwa na bonde.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Wafilisti walisimama mlimani upande mmoja na Waisraeli walisimama mlimani upande mwingine, katikati yao kulikuwa na bonde.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Wafilisti walisimama mlimani upande mmoja na Waisraeli walisimama mlimani upande mwingine, katikati yao kulikuwa na bonde.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Wafilisti wakawa katika kilima kimoja, na Waisraeli katika kilima kingine, nalo bonde likiwa kati yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Wafilisti wakawa katika kilima kimoja na Waisraeli katika kilima kingine, hilo bonde likiwa kati yao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Wafilisti wakasimama juu ya mlima upande huu, na Waisraeli wakasimama juu ya mlima upande huu, huku bonde likiwa katikati.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 17:3
3 Marejeleo ya Msalaba  

Naye huyo alipowatukana Israeli, ndipo Yonathani, mwana wa Shimei, nduguye Daudi, akamwua.

Naye Sauli na watu wa Israeli wakakusanyika, wakatua katika bonde la Ela, nao wakapanga vita juu ya hao Wafilisti.

Ndipo akatoka shujaa katika kambi ya Wafilisti, aliyeitwa Goliathi, wa Gathi, ambaye urefu wake ulikuwa mikono sita na shibiri moja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo