1 Samueli 17:29 - Swahili Revised Union Version29 Naye Daudi akamjibu, Je! Mimi nimekosa nini sasa? Je! Si neno kubwa hilo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Daudi akamjibu, “Sasa nimefanya nini? Je, siwezi kuuliza swali tu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Daudi akamjibu, “Sasa nimefanya nini? Je, siwezi kuuliza swali tu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Daudi akamjibu, “Sasa nimefanya nini? Je, siwezi kuuliza swali tu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Daudi akasema, “Sasa nimefanya nini? Je, siwezi hata kuongea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Daudi akasema, “Sasa nimefanya nini? Je, siwezi hata kuongea.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Naye Daudi akamjibu, Je! Mimi nimekosa nini sasa? Je! Si neno kubwa hilo? Tazama sura |