1 Samueli 17:21 - Swahili Revised Union Version21 Nao Waisraeli na Wafilisti wakajipanga, jeshi hili likikabili jeshi hili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Majeshi ya Waisraeli na ya Wafilisti walijipanga tayari kupigana vita, majeshi yakiwa yanakabiliana ana kwa ana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Majeshi ya Waisraeli na ya Wafilisti walijipanga tayari kupigana vita, majeshi yakiwa yanakabiliana ana kwa ana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Majeshi ya Waisraeli na ya Wafilisti walijipanga tayari kupigana vita, majeshi yakiwa yanakabiliana ana kwa ana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Israeli na Wafilisti walikuwa wakipanga safu zao wakitazamana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Israeli na Wafilisti walikuwa wakipanga safu zao wakitazamana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Nao Waisraeli na Wafilisti wakajipanga, jeshi hili likikabili jeshi hili. Tazama sura |