1 Samueli 16:17 - Swahili Revised Union Version17 Basi Sauli akawaambia, Vema, nitafutieni mtu aliye stadi wa kupiga kinubi, mniletee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Shauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mtu huyo anayeweza kupiga kinubi vizuri, mniletee.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Shauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mtu huyo anayeweza kupiga kinubi vizuri, mniletee.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Shauli akawaambia watumishi wake, “Nitafutieni mtu huyo anayeweza kupiga kinubi vizuri, mniletee.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Basi Sauli akawaambia watumishi wake, “Mtafuteni mtu apigaye kinubi vizuri mkamlete kwangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Basi Sauli akawaambia watumishi wake, “Mtafuteni mtu apigaye kinubi vizuri mkamlete kwangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Basi Sauli akawaambia, Vema, nitafutieni mtu aliye stadi wa kupiga kinubi, mniletee. Tazama sura |