Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 15:7 - Swahili Revised Union Version

7 Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Shauli aliwashinda Waamaleki kuanzia Havila hadi Shuri, mashariki ya Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Ndipo Sauli akawashambulia Waamaleki toka Havila mpaka Shuri, hadi mashariki ya Misri.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Sauli akawapiga Waamaleki, toka Havila hadi Shuri, mashariki mwa Misri.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 15:7
11 Marejeleo ya Msalaba  

Malaika wa BWANA akamwona kwenye chemchemi ya maji katika jangwa, chemchemi iliyoko katika njia ya kuendea Shuri.


Jina la wa kwanza ni Pishoni; ndio unaozunguka nchi yote ya Havila, ambako kuna dhahabu;


Wakakaa toka Havila mpaka Shuri, unaoelekea Misri, kwa njia ya kwenda Ashuru. Akakaa katikati ya ndugu zake wote.


na Ofiri, na Havila, na Yobabu. Hao wote ndio wana wa Yoktani.


Nao wakawaua Waamaleki waliokuwa wamenusurika, wakakaa huko, hata siku hii ya leo.


Kwamba mwovu huachiliwa katika siku ya msiba? Na kuongozwa nje katika siku ya ghadhabu?


Musa akawaongoza Israeli waende mbele kutoka Bahari ya Shamu, nao wakatokea kwa jangwa la Shuri; wakaenda safari ya siku tatu jangwani wasione maji.


lakini haitakuwa heri kwa mwovu, wala hatazidisha siku zake, zilizo kama kivuli; kwa sababu hana kicho mbele za Mungu.


Naye kwa ushujaa, akawapiga Waamaleki, na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa mikono ya waliowateka nyara.


Naye Daudi na watu wake walikuwa wakikwea na kuwashambulia Wageshuri, na Wagirizi, na Waamaleki waliokuwa wenyeji wa nchi hiyo, tangu Telemu, hapo uendapo Shuri, mpaka nchi ya Misri.


Ikawa, Daudi na watu wake walipokuwa wamefika Siklagi siku ya tatu, hao Waamaleki walikuwa wameshambulia Negebu, na Siklagi, nao wameupiga Siklagi, na kuuchoma moto;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo