1 Samueli 15:34 - Swahili Revised Union Version34 Na baada ya hayo Samweli akaenda zake kule Rama; naye Sauli akakwea kwenda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Kisha, Samueli akaenda Rama; na mfalme Shauli akarudi nyumbani kwake huko Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Kisha, Samueli akaenda Rama; na mfalme Shauli akarudi nyumbani kwake huko Gibea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Kisha, Samueli akaenda Rama; na mfalme Shauli akarudi nyumbani kwake huko Gibea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani mwake huko Gibea ya Sauli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Kisha Samweli akaenda Rama, lakini Sauli akapanda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Na baada ya hayo Samweli akaenda zake kule Rama; naye Sauli akakwea kwenda nyumbani kwake huko Gibea ya Sauli. Tazama sura |