Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 15:31 - Swahili Revised Union Version

31 Basi Samweli akarudi na kuandamana na Sauli; naye Sauli akamwabudu BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Basi, Samueli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Shauli akamwabudu Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Basi, Samueli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Shauli akamwabudu Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Basi, Samueli akarudi pamoja naye mpaka Gilgali na Shauli akamwabudu Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hivyo Samweli akarudi pamoja na Sauli, naye Sauli akamwabudu Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hivyo Samweli akarudi pamoja na Sauli, naye Sauli akamwabudu bwana.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

31 Basi Samweli akarudi na kuandamana na Sauli; naye Sauli akamwabudu BWANA.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 15:31
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Daudi akainuka pale chini akaoga, akajipaka mafuta, akabadili mavazi yake; akaingia nyumbani mwa BWANA, akasali; kisha akaenda nyumbani kwake, na alipotaka wakamwandalia chakula, naye akala.


Samweli akasema, Sitarudi pamoja nawe; kwa sababu umelikataa neno la BWANA, BWANA naye amekukataa wewe, usiwe mfalme wa Israeli.


Akasema, Nimekosa; lakini uniheshimu sasa, nakuomba, mbele ya wazee wa watu wangu, na mbele ya Israeli, rudi pamoja nami, nimwabudu BWANA, Mungu wako.


Ndipo Samweli akasema, Nileteeni hapa Agagi, mfalme wa Waamaleki. Basi Agagi akamwendea kwa ulegevu. Naye Agagi akasema, Bila shaka uchungu wa mauti umeondoka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo