1 Samueli 12:6 - Swahili Revised Union Version6 Samweli akawaambia watu, Ni yeye BWANA aliyewaweka Musa na Haruni, yeye ndiye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Samueli akawaambia, “Mwenyezi-Mungu ndiye aliyemteua Mose na Aroni na kuwatoa babu zenu nchini Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kisha Samweli akawaambia watu, “Mwenyezi Mungu ndiye alimchagua Musa na Haruni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kisha Samweli akawaambia watu, “bwana ndiye alimchagua Musa na Haruni, na kuwaleta baba zenu akiwapandisha kutoka Misri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Samweli akawaambia watu, Ni yeye BWANA aliyewaweka Musa na Haruni, yeye ndiye aliyewatoa baba zenu kutoka nchi ya Misri. Tazama sura |