1 Samueli 12:4 - Swahili Revised Union Version4 Nao wakasema, Hukutudhulumu, wala hukutuonea, wala hukupokea kitu kwa mkono wa mtu awaye yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watu wakamjibu, “Kamwe hujatudanganya, hujatukandamiza, wala hujachukua kitu chochote kwa mtu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watu wakamjibu, “Kamwe hujatudanganya, hujatukandamiza, wala hujachukua kitu chochote kwa mtu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watu wakamjibu, “Kamwe hujatudanganya, hujatukandamiza, wala hujachukua kitu chochote kwa mtu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Wakajibu, “Hujatudanganya wala kutudhulumu. Hujapokea chochote kutoka mkono wa mtu yeyote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Wakajibu, “Hujatudanganya wala kutuonea. Hujapokea chochote kutoka kwenye mkono wa mtu awaye yote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nao wakasema, Hukutudhulumu, wala hukutuonea, wala hukupokea kitu kwa mkono wa mtu awaye yote. Tazama sura |