Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 12:16 - Swahili Revised Union Version

16 Na sasa simameni, mkalione jambo hili kubwa, BWANA atakalolitenda mbele ya macho yenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kwa hiyo basi, tulieni na kulitazama jambo hilo kubwa ambalo Mwenyezi-Mungu atatenda mbele yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 “Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo Mwenyezi Mungu anaenda kulifanya mbele ya macho yenu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “Sasa basi, simameni kimya mkaone jambo hili kubwa ambalo bwana anakwenda kulifanya mbele ya macho yenu!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Na sasa simameni, mkalione jambo hili kubwa, BWANA atakalolitenda mbele ya macho yenu.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 12:16
4 Marejeleo ya Msalaba  

Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

Israeli akaiona ile kazi kubwa aliyoifanya BWANA juu ya Wamisri, ndipo hao watu wakamcha BWANA, wakamwamini BWANA, na Musa mtumishi wake.

Basi sasa simameni, ili niwahutubie mbele za BWANA, kwa kutaja matendo yote ya haki ya BWANA, aliyowatendea ninyi na baba zenu.

Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Ngoja, nami nitakuambia neno aliloniambia BWANA usiku huu. Naye akamwambia, Haya, sema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo