1 Samueli 10:20 - Swahili Revised Union Version20 Basi Samweli akayaleta makabila yote ya Israeli karibu; na kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kisha Samueli akayapanga makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kisha Samueli akayapanga makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kisha Samueli akayapanga makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Basi Samweli akayaleta makabila yote ya Israeli karibu; na kabila la Benyamini likachukuliwa kwa kura. Tazama sura |
Kwa hiyo Sauli akamwambia BWANA, Mungu wa Israeli, [Kwa nini usimjibu mtumishi wako leo? Ikiwa dhambi iko ndani yangu, au ndani yake Yonathani mwanangu, Ee BWANA, Mungu wa Israeli, utoe Urimu; bali ukisema hivi, Dhambi iko katika watu wako Israeli,] utoe Thumimu. Basi Yonathani na Sauli wakatwaliwa, lakini watu wakapona.