1 Samueli 10:15 - Swahili Revised Union Version15 Babaye mdogo Sauli akasema, Tafadhali niambie, huyo Samweli aliwaambiaje? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Yule baba mdogo wa Shauli akamwambia, “Tafadhali, niambie kile alichokuambia Samueli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Babaye mdogo Sauli akasema, “Niambie Samweli amekuambia nini.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Babaye mdogo Sauli akasema, Tafadhali niambie, huyo Samweli aliwaambiaje? Tazama sura |