1 Samueli 1:5 - Swahili Revised Union Version5 lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini Elkana alimpa Hana fungu moja ingawa alikuwa anampenda sana, na Mwenyezi-Mungu hakuwa amemjalia watoto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini alimpa Hana fungu maradufu kwa sababu alimpenda, ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amemfunga tumbo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini alimpa Hana fungu maradufu kwa sababu alimpenda, ingawa bwana alikuwa amemfunga tumbo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 lakini Hana humpa sehemu mara mbili; maana alimpenda Hana, ingawa BWANA alikuwa amemfunga tumbo. Tazama sura |