1 Petro 4:5 - Swahili Revised Union Version5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini watapaswa kutoa hoja juu ya jambo hilo mbele yake Mungu aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini itawapasa wao kutoa maelezo kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini itawapasa wao kutoa hesabu mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa. Tazama sura |