Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Petro 1:24 - Swahili Revised Union Version

24 Maana, Mwili wote ni kama majani, Na fahari yake yote ni kama ua la majani. Majani hukauka na ua lake huanguka;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao wote ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka,

Tazama sura Nakili




1 Petro 1:24
15 Marejeleo ya Msalaba  

Ndiyo sababu wenyeji wao walikuwa na nguvu chache, wakafadhaika, na kuhangaika; wakawa kama majani ya mashamba, kama miche mibichi, kama majani juu ya dari, na kama ngano iliyokaushwa kabla haijaiva.


Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.


Moyo wangu umepigwa kama majani na kukauka, Naam, ninasahau kula chakula changu.


Mwanadamu siku zake zi kama majani; Kama ua la kondeni ndivyo anavyostawi.


Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea.


Maana kama majani watakatika mara, Kama miche mibichi watanyauka.


Kweli, watu wote hupita kama kivuli; Wao hujisumbua bure tu; Wanajirundikia mali wala hawajui ni nani atakayeirithi.


Wawafutilia wanadamu mbali kama ndoto, wao ni kama majani yameayo asubuhi.


Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;


Mimi, naam, mimi, ndimi niwafarijiye; wewe u nani hata ukamwogopa mtu atakayekufa, na mwanadamu atakayefanywa kuwa kama majani?


Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa katika tanuri, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?


lakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa muda mfupi tu, kisha hutoweka.


Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo