Mathayo 5:36 - Neno: Maandiko Matakatifu36 Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA36 Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Tazama sura |