Luka 4:22 - BIBLIA KISWAHILI22 Wakamshuhudia wote, wakiyastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake, wakasema, Huyu siye mwana wa Yusufu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Wote wakavutiwa sana naye, wakastaajabia maneno mazuri aliyosema. Wakasema, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Wote wakavutiwa sana naye, wakastaajabia maneno mazuri aliyosema. Wakasema, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Wote wakavutiwa sana naye, wakastaajabia maneno mazuri aliyosema. Wakasema, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Watu wote walimsifu na kuyastaajabia maneno yake yaliyojaa neema, wakaulizana, “Je, huyu si mwana wa Yusufu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Wote waliokuwako wakamsifu na kuyastaajabia maneno yake yaliyojaa neema, wakaulizana, “Je, huyu si mwana wa Yusufu?” Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA22 Wote wakavutiwa sana naye, wakastaajabia maneno mazuri aliyosema. Wakasema, “Je, huyu si mwana wa Yosefu?” Tazama sura |