Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zaburi 5:3 - Biblia Habari Njema

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema - BHND

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Mwenyezi Mungu; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee bwana; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

3 Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.

Tazama sura Nakili




Zaburi 5:3
15 Marejeleo ya Msalaba  

Hata wakasababisha kilio cha maskini kimfikie Mungu, Mungu akasikiliza kilio chao hao walioteswa.


Naamka kabla ya pambazuko na kukuomba msaada; naweka tumaini langu katika maneno yako.


Ee Bwana, sikia sauti yangu, uitegee sikio sauti ya ombi langu.


Ninamtumainia Mwenyezi-Mungu kuliko walinzi wanavyongojea pambazuko; kuliko walinzi wanavyongojea kuche asubuhi.


Nitakutukuza, ee Mungu wangu na mfalme wangu; nitalitukuza jina lako daima na milele.


Ee Mungu wangu, nalia mchana lakini hujibu; napiga yowe usiku, lakini nafuu sipati.


Kwa nguvu yako twawashinda maadui zetu, kwa jina lako twawakanyaga wanaotushambulia.


Jioni, asubuhi na adhuhuri, nalalama na kulia, naye ataisikia sauti yangu.


Unijibu, ee Mwenyezi-Mungu, kwa wema na fadhili zako; unielekee kwa wingi wa huruma yako.


Hata hivyo wewe Mungu ni mfalme wetu tangu kale; umefanya makuu ya wokovu katika nchi.


Heri wale wanaokaa nyumbani mwako, wakiimba daima sifa zako.


Lakini mimi nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu; kila asubuhi nakuletea ombi langu.


Moyo wangu wakutamani usiku kucha, nafsi yangu yakutafuta kwa moyo. Utakapoihukumu dunia, watu wote ulimwenguni watajifunza haki.


Wewe umenisikia nikikulilia: ‘Usiache kusikia kilio changu cha msaada bali unipatie nafuu.’


Kesho yake, kabla ya mapambazuko, Yesu alitoka, akaenda mahali pa faragha kusali.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo