Zaburi 139:5 - Biblia Habari Njema5 Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema - BHND5 Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Umenizingira nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Umenizunguka nyuma na mbele; umeweka mkono wako juu yangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Umenizingira nyuma na mbele, Ukaniwekea mkono wako. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA5 Uko kila upande wangu, mbele na nyuma; waniwekea mkono wako kunilinda. Tazama sura |