Zaburi 136:1 - Biblia Habari Njema1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema - BHND1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mshukuruni Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ni mwema. Fadhili zake zadumu milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mshukuruni bwana, kwa kuwa ni mwema. Fadhili zake zadumu milele. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema; Kwa maana fadhili zake ni za milele. Tazama suraBIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA1 Mshukuruni Mwenyezi-Mungu kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake zadumu milele. Tazama sura |
Makuhani walisimama mahali maalumu walipoagizwa kusimama, nao Walawi walisimama wakiwa na vyombo vya Mwenyezi-Mungu vya muziki mfalme Daudi alivyovitengeneza kwa ajili ya kutoa shukrani kwa Mwenyezi-Mungu. Waliimba, “Kwa kuwa fadhili zake zadumu milele,” Daudi alivyowaagiza. Makuhani walipiga tarumbeta hali Waisraeli wote walikuwa wamesimama.
sauti za harusi na za furaha, sauti za waimbaji wakati wakileta tambiko za shukrani katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu: ‘Mshukuruni Mwenyezi-Mungu wa majeshi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu ni mwema, kwa maana fadhili zake zadumu milele.’ Nitairudishia nchi hii fanaka yake ya awali. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”