Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zaburi 118:5 - Biblia Habari Njema

5 Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema - BHND

5 Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wakati wa maumivu yangu makuu, nilimlilia Mwenyezi Mungu, naye akanijibu kwa kuniweka huru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia bwana, naye akanijibu kwa kuniweka huru.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Katika shida yangu nilimwita BWANA; BWANA akanijibu akaniweka panapo nafasi.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

5 Katika taabu yangu nilimwomba Mwenyezi-Mungu, naye akanisikia na kuniweka huru.

Tazama sura Nakili

Zaburi 118:5
15 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, Yakobo akaogopa sana na kufadhaika. Akawagawa katika makundi mawili watu waliokuwa pamoja naye, kondoo, mifugo mingine na ngamia,

Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao.

Ndipo katika taabu yao wakamlilia Mwenyezi-Mungu, naye akawaokoa katika mateso yao.

Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, naye akanijibu.

Alinileta, akaniweka mahali pa usalama; alinisalimisha, kwani alipendezwa nami.

Mwenyezi-Mungu alinipa tuzo kadiri ya uadilifu wangu; alinituza kwa vile mikono yangu haina hatia.

Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Aliisikia sauti yangu hekaluni mwake; kilio changu kilimfikia masikioni mwake.

Wewe hukuniacha nitiwe mikononi mwa maadui zangu; umenisimamisha mahali pa usalama.

Wakati wa taabu namwomba Bwana; namnyoshea mikono yangu usiku bila kuchoka, lakini sipati faraja yoyote kwa mtu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo