Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 7:6 - Biblia Habari Njema

6 “Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema - BHND

6 “Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 “Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 “Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 “Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

6 “Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua nyinyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.

Tazama sura Nakili




Mathayo 7:6
18 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanamke mzuri asiye na akili, ni kama pete ya dhahabu puani mwa nguruwe.


Usiseme maneno yako mbele ya mpumbavu, maana atapuuza hekima ya maneno yako.


Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.


Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye.


Yesu akamjibu, “Si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”


Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana.


Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.


Kila mara safarini nimekabiliwa na hatari za mafuriko ya mito, na hatari za wanyama; hatari kutoka kwa wananchi wenzangu na kutoka kwa watu wa mataifa mengine; hatari za mjini, hatari za porini, hatari za baharini, hatari kutoka kwa ndugu wa uongo.


Jihadharini na hao watendao maovu, hao mbwa, watu wanaosisitiza kujikata mwilini.


Je, mtu yule anayempuuza Mwana wa Mungu na kuidharau damu ya agano la Mungu iliyomtakasa, mtu anayemtukana Roho wa Mungu, anastahili kupata adhabu kali ya namna gani?


kisha wakaiasi imani yao, haiwezekani kuwarudisha hao watubu tena. Hao wanamsulubisha tena Mwana wa Mungu kwa makusudi na kumwaibisha hadharani.


Ipo methali isemayo: “Mbwa huyarudia matapishi yake mwenyewe,” na nyingine isemayo: “Nguruwe aliyekwisha oshwa hugaagaa tena katika matope!” Ndivyo ilivyo kwao sasa.


Lakini mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo