Kwa hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, atatuma maradhi ya kukondesha kwa wapiganaji walionenepa; na badala ya utukufu wake kutawashwa kuteketea kama kuteketea kwa moto.
Zekaria 7:4 - Swahili Revised Union Version Ndipo neno la BWANA wa majeshi likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo, neno la Mwenyezi-Mungu wa majeshi likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Kisha neno la Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Kisha neno la bwana Mwenye Nguvu Zote likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Ndipo neno la BWANA wa majeshi likanijia, kusema, |
Kwa hiyo Bwana, BWANA wa majeshi, atatuma maradhi ya kukondesha kwa wapiganaji walionenepa; na badala ya utukufu wake kutawashwa kuteketea kama kuteketea kwa moto.
na kusema na makuhani wa nyumba ya BWANA wa majeshi, na hao manabii, ya kwamba, Je! Yanipasa kulia katika mwezi wa tano, na kufunga, kama nilivyofanya miaka hii mingi iliyopita?
Waambie watu wote wa nchi, na hao makuhani, ukisema, Hapo mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na mwezi wa saba, katika miaka hiyo sabini, je, Mlifunga kwa ajili yangu?