Kwa maana tangu zamani wewe umeivunja nira yako, na kuvipasua vifungo vyako; ukasema, Mimi sitatumika; kwa maana juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi, umejiinamisha, ukafanya mambo ya ukahaba.
Zaburi 2:3 - Swahili Revised Union Version Na tuvipasue vifungo vyao, Na kuzitupa mbali nasi kamba zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!” Biblia Habari Njema - BHND Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao; tutupilie mbali minyororo yao!” Neno: Bibilia Takatifu Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” Neno: Maandiko Matakatifu Wanasema, “Tuvunje minyororo yao na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” BIBLIA KISWAHILI Na tuvipasue vifungo vyao, Na kuzitupa mbali nasi kamba zao. |
Kwa maana tangu zamani wewe umeivunja nira yako, na kuvipasua vifungo vyako; ukasema, Mimi sitatumika; kwa maana juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi, umejiinamisha, ukafanya mambo ya ukahaba.
nitawaendea watu wakubwa, nami nitasema nao; kwa maana hao wanaijua njia ya BWANA, na hukumu ya Mungu wao. Bali hawa kwa nia moja wameivunja nira, na kuvikata vifungo.
Lakini watu wa mji wake walimchukia, wakatuma wajumbe kumfuata na kusema, Hatumtaki huyu atutawale.