Zaburi 118:3 - Swahili Revised Union Version Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Biblia Habari Njema - BHND Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wazawa wa Aroni na waseme: “Fadhili zake zadumu milele.” Neno: Bibilia Takatifu Nyumba ya Haruni na iseme sasa: “Fadhili zake zadumu milele.” Neno: Maandiko Matakatifu Nyumba ya Haruni na iseme sasa: “Upendo wake wadumu milele.” BIBLIA KISWAHILI Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. |
Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa muwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo.
na kutufanya kuwa ufalme, na makuhani kwa Mungu, naye ni Baba yake; utukufu na ukuu una Yeye hata milele na milele. Amina.