kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Yuda 1:2 - Swahili Revised Union Version Mwongezewe rehema na amani na upendano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi. Biblia Habari Njema - BHND Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi. Neno: Bibilia Takatifu Rehema, amani na upendo ziwe kwenu kwa wingi. Neno: Maandiko Matakatifu Rehema, amani na upendo viwe kwenu kwa wingi. BIBLIA KISWAHILI Mwongezewe rehema na amani na upendano. |
kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Na wote watakaoenenda kwa kanuni hiyo, amani na iwe kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.
kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani. Na iwe kwako neema, rehema na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
kama vile Mungu Baba alivyotangulia kuwajua katika kutakaswa na Roho, hata mkapata kutii na kunyunyiziwa damu ya Yesu Kristo. Neema na amani na ziongezwe kwenu.