wakawaamuru watu wote wakisema, Mtakapoliona sanduku la Agano la BWANA, Mungu wenu, na makuhani Walawi wakilichukua, ndipo mtakapoondoka hapa mlipo na kulifuata.
Yoshua 3:2 - Swahili Revised Union Version Ikawa baada ya siku tatu, viongozi wakapita katikati ya kambi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo, Biblia Habari Njema - BHND Baada ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya siku tatu, viongozi walipita katikati ya kambi hiyo, Neno: Bibilia Takatifu Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote, Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya siku tatu maafisa wakapita katika kambi yote, BIBLIA KISWAHILI Ikawa baada ya siku tatu, viongozi wakapita katikati ya kambi, |
wakawaamuru watu wote wakisema, Mtakapoliona sanduku la Agano la BWANA, Mungu wenu, na makuhani Walawi wakilichukua, ndipo mtakapoondoka hapa mlipo na kulifuata.